skip to main | skip to sidebar
This Blog
Linked From Here
Wavuti nizisomazo
The Web
This Blog
|
Linked From Here
|
Wavuti nizisomazo
|
The Web
|
Saturday, September 6, 2014
Mila na tamaduni: Watanzania ni wakarimu (sehemu ya pili)
Hivi karibuni nimemaliza mzunguko wa kazi na mazoezi nikitumia baiskeli wa takriban kilomita 174 ndani ya mikoa ya Mwanza na Mara. Imenipa fursa ya kuthibitisha kuwa utamaduni wa ukarimu miongoni mwa Watanzania bado uko imara.
Jiunge nami kwenye sehemu ya pili ya msafara huu...
Agosti 2
Tulitembelea makazi ya kwanza walipofikia Wakristu wa kwanza kutua kwenye kisiwa cha Ukerewe zaidi ya miaka 100 iliyopita. Hakuna maelezo mengi sana kuhusu eneo hili ila simulizi za mauaji yaliyofanyika hapo dhidi ya baadhi ya wageni hao na mtawala wa eneo hilo wa wakati huo. Ni eneo ambalo liko kwenye kilima chenye mwinuko mkubwa unaowezesha kuona umbali mkubwa juu ya Ziwa Viktoria. Mwenyeji wangu aliniambia kuwa nyakati ambapo hakuna ukungu yawezekana kuona ndege zikipaa na kutua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza.
Baada ya hapo tulitembelea eneo la ufukweni wa ziwa ambapo mjasiria mali mmoja wa Nansio, makao makuu ya wilaya ya Ukerewe, anajenga hoteli itakayozingatia utunzwaji wa mazingira wa eneo hilo.
Taarifa ijayo: Watanzania ni watu wakarimu
sehemu ya kwanza ya makala hii
sehemu ya tatu ya makala hii
Jiunge nami kwenye sehemu ya pili ya msafara huu...
Agosti 2
Tulitembelea makazi ya kwanza walipofikia Wakristu wa kwanza kutua kwenye kisiwa cha Ukerewe zaidi ya miaka 100 iliyopita. Hakuna maelezo mengi sana kuhusu eneo hili ila simulizi za mauaji yaliyofanyika hapo dhidi ya baadhi ya wageni hao na mtawala wa eneo hilo wa wakati huo. Ni eneo ambalo liko kwenye kilima chenye mwinuko mkubwa unaowezesha kuona umbali mkubwa juu ya Ziwa Viktoria. Mwenyeji wangu aliniambia kuwa nyakati ambapo hakuna ukungu yawezekana kuona ndege zikipaa na kutua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza.
![]() |
Ukerewe ni kisiwa chenye mandhari za kuvutia na visiwa vingi vinavyokizunguka. Upande wa kulia wa picha kinaonekana kisiwa cha Bwiru. |
Taarifa ijayo: Watanzania ni watu wakarimu
sehemu ya kwanza ya makala hii
sehemu ya tatu ya makala hii
Subscribe to: Post Comments (Atom)
Mada Zilizopita
- Butiama (9)
- hili na lile (53)
- hoja na maoni (36)
- kabumbu (5)
- Kaburi la Mwalimu Nyerere (1)
- Kambi ya Barafu (1)
- Kambi ya Big Tree (1)
- Kambi ya Crater (1)
- kandanda (2)
- Katiba mpya Tanzania (1)
- Kibo (1)
- Kombe la Dunia la FIFA (1)
- Kombe la Dunia la FIFA 2010 (1)
- Kwame Nkrumah (1)
- Le Hu Dyuong (1)
- Lucas Rutainurwa (1)
- Lugha yetu Kiswahili (19)
- Mada yangu ya leo (17)
- makala nyingine (3)
- makala za Amani Millanga (15)
- makala zangu (2)
- Makazi ya Mwalimu Nyerere (3)
- mali za Wajerumani (1)
- Mama Maria Nyerere (3)
- Mama Salma Kikwete (1)
- mashuhuri (1)
- Mawenzi (1)
- Mazembe Nyerere (1)
- mengineyo (3)
- Mgaya wa Nyang'ombe (1)
- mila na tamaduni (21)
- milima (1)
- Mlima Kilimanjaro (27)
- Mtemi Nyerere Burito (2)
- Muhidin Issa Michuzi (1)
- Muhunda (2)
- Mwaka Mpya 2011 (1)
- Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (17)
- Mwalimu Nyerere (2)
- Mwalimu Nyerere Charity Climb 2010 (1)
- Mwanza (1)
- Mwitongo (1)
- Nashon Jirabi (1)
- ndondi (25)
- ngumi za kulipwa (1)
- Nimrod Mkono (1)
- pimbi (1)
- Prof. Ibrahim Lipumba (1)
- safarini (10)
- sanaa na wasanii (10)
- Sarah wa Angalia Bongo (1)
- siasa (22)
- Takwimu (1)
- The Mwalimu Nyerere/Mt. Kilimanjaro Charity Climb 2010 (1)
- Tsunami (1)
- tumbili (1)
- uchaguzi (2)
- Uchaguzi 2014 (1)
- Uchaguzi Mkuu 2005 (1)
- Uchaguzi Mkuu 2010 (7)
- Uchaguzi Mkuu 2015 (4)
- Ushahidi (1)
- utalii (5)
- utalii wa utamaduni (1)
- Uwanda wa Shira (1)
- Vijana FM (1)
- Wageni wa Butiama (24)
- WAMA (1)
- watu (11)
- watu mashuhuri (8)

Kuhusu Mimi
Wavuti nizisomazo
- BENDI ZA SHULE ZA SEKONDARI - Leo nimeamka na wimbo uliopigwa mwaka 1969, na Mkwawa Jazz Band katika mtindo wao wa Ligija. Maneno ya wimbo huo yalikuwa kama ifuatavyo; *Huenda hasa uta...1 week ago
- Miriam Makeba - Miriam Makeba ni mwanamuziki mashuhuri sana na mwanaharakati kutoka Afrika kusini. Alizaliwa 04-03-1932 Johannesburg. Baba yake Caswell Mpambane Makeba ali...9 years ago

No comments: