Jumanne, 7 Juni 2016


   
Dar es Salaam, Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Joseph Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kanisani kwa mzee wa Upako, Ubungo! Hivi unaposoma taarifa hii, Mheshimiwa Rais yumo ndani kanisani kwa mzee wa Upako anaendelea na ibada!
Taarifa zinasema kwamba, asubuhi leo, amesali Kanisa la St. Peter kisha akarudi Ikulu, alipofika ghafla akapanga ziara ya kuelekea eneo ambalo halikuwa likifahamika.
Yupo kwa mzee wa Upako, Ubungo anaendelea na Ibada.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni