Ijumaa, 3 Juni 2016

Ndoa katika jamii za kikristo zilikusudiwa kudumu na kuwa mfano wa kuigwa na ndoa za watu wengine katika jamii. Lakini cha kushangaza ndoa nyingi leo za kikristo zinavunjika kwa kasi ya kushtusha. Hii inashtusha na kushangaza kwa sababu sisi kama wakristo tumeacha kutembea katika mpango kamili wa Mungu. KwaniNdoa katika jamii za kikristo zilikusudiwa kudumu na kuwa mfano wa kuigwa na ndoa za watu wengine katika jamii. Lakini cha kushangaza ndoa nyingi leo za kikristo zinavunjika kwa kasi ya kushtusha. Hii inashtusha na kushangaza kwa sababu sisi kama wakristo tumeacha kutembea katika mpango kamili wa Mungu. Kwanini hali hii inatokea? Kuna sababu nyingi kwanini ndoa zinakuwa na migogoro isiyoisha na ningine kutawanyika. Kuna sababu ndogo ndogo na zingine ni kubwa na za msingi.ni hali hii inatokea? Kuna sababu nyingi kwanini ndoa zinakuwa na migogoro isiyoisha na ningine kutawanyika. Kuna sababu ndogo ndogo na zingine ni kubwa na za msingi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni